White towels sucks for men .

During the campaign period I came across a woman rep aspirant ,who was giving out towels. I was given a white one ...Wueeh Nimejaribu kuifua like na machine,jik lakini ikona stains kibao. Disadvantage ni mob haiwezi panguza nayo miguu, kufua hauwezi Anika njee ......

I just remember my old one. Ilikuwa ya dark brown.Kufua ilikuwa after mwaka ama miezi.